DOWNLOAD FREE MP3
GOSPELMINDS TELEGRAM

Audio + Video: Daniel Ja Blessed – Unaweza

Daniel Ja Blessed - Unaweza
Gospel Songs Mp3

USA-based gospel singer Daniel Ja Blessed returns with a brand new single titled “Unaweza” which resounds in Swahili and English.

Watch the Full video below

DOWNLOAD MP3

Lyrics: Swahili (English) Unaweza by Daniel Ja Blessed

[verse1]

tuki omba wagonjwa wanapona
(If we pray for the sick, they recover)

Tuki sema baba saidia
(if we say dad help)

Tukiomba kwa jina lako, pepo watakimbia na kuogopa
(If we pray in your name, the demons will flee and be afraid)

tukiomba tena kwa sadaka wanazotoa
(If we pray again for the sacrifices they offer)

wewe Mungu mwenye nguvu
(you mighty God)

baba wamiujiza
(father of miracles)

utukufu ni kwako
(glory is to you)

heshima niyako
(respect is yours)

Chorus
unaweza yote Yahweh baba
(you can all yahweh father)

unaweza Yahweh Masia
(you can Yahweh Messiah 2)

[verse2]

umenifanyia mengi hio siwezi sahau
(you have done so much for me that I will never forget)

mengi ulinifanyia siwezi sema yote baba
(you did so much for me I can’t say it all dady)

satasahau mazuri umenifanyia
(I will never forget the good you did for me)

sitasahau uzuri umenionesha
(I will never forget the beauty you show me)

satasahau mazuri umenifanyia
(i will never forget the good you did for me)

sitasahau uzuri umenionesha
(i will never forget the beauty you show me)

siku wai kufikiria nitafika apa nilipo leo
(i didn’t think I would get here where I am today)

bila wewe ningekuwa wapi leo baba
(without you I would be where I am today baba)

Chorus

unaweza yote Yahweh baba
(you can all yahweh father)

unaweza Yahweh Masia
(you can Yahweh Messiah 2)

Leave a Reply