Angel Magoti is out with a brand new Swahili Medley (Cover) Way Maker by Sinach + Excess love by Mercy Chinwo, Mighty Man of War by Jimmy Psalmist, My beautifier by Chris Shalom, The name of Jesus by Sinach & Kuliko Jana by Sauti Soul.
Watch Video by Angel Magoti
DOWNLOAD MP3 MP3 8.3 MB
LYRICS: Way Maker Swahili Medley BY Angel Magoti
Bwana ni mwokozi wangu
Tena ni kiongozi wangu
Ananipeda leo kuliko Jana
Baraka zake hazikwishi
Si kama binadamu habadiliki
Ananipenda leo kuliko jana
You are here moving in our midst
I worship you
I worship you
Uko hapa umetuzingira
Nakuabudu
Nakuabudu
Mtengeneza njia
Mfanya miujiza
Mtunza ahadi
Mwanga kwenye giza
Ndivyo ulivyo.* 2
You are here touching every heart
I worship you
I worship you
Uko hapa
Waponya wenye shida
Nakuabudu
Nakuabudu
Jesus you love me to much ooo×3
Nakusifu
Nakuabudu
Natukuza Jina lako
Mtengeneza njia
Mfanya miujiza
Mtunza ahadi
Mwanga kwenye giza
Ndivyo ulivyo.
Mighty man of war
Lion of Judah
We bow down to worship you
My beautifier
You’ve taken away my shame
You’ve taken away my pain
You’ve made me just like you.
I call your Name Jesus
Call his name
Jesus
The healing Name Jesus
Ooo Jesus
Anaitwa nani
Yesu
Mfalme wa wafalme
Yesu
Mwanzo tena Mwisho
ooo Yesu
Your name is so powerful
Jesus
The healing name
Jesus
The Mighty name
Jesus
Call his Name
Ooo Jesus
In every situation Jesus It doesn’t matter what you are passing through
Jesus
Call his Name
Jesus
Ooo Jesus
[END]
Follow Us Twitter | Like Our Facebook Page | Follow Us On Instagram